JUKWAA LA WALIMU WAZALENDO TZ🇹🇿
Hili ni jukwaa la walimu wazalendo wa Tanzania.Nia ya jukwaa hili ni kuhabarishana juu ya masuala mbalimbali ya kada ya ualimu na mengine ya kijamii pia kuelimishana na kukumbushana masuala yahusuyo elimu kwa ufundishaji wenye tija.
Members: 17